RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Idrisa Mustafa Kitwana, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Kazi Uchumi na Uwekezaji Mhe.Mudrik Ramadhan Soroga na Mwenyekiti wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Zanzibar (ZATUC) Ndg.Ali Mwalimu, alipowasili katika viwanja vya Ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar kuhudhuria Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani Mei Mosi

2 Comments
Riva Collins
It’s no secret that the digital industry is booming. From exciting startups to need ghor
global and brands, companies are reaching out.
Obila Doe
It’s no secret that the digital industry is booming. From exciting startups to need ghor hmiu
global and brands, companies are reaching out.