Mkuu wa Divisheni ya Ukaguzi akishirikiana na Maafisa wa Idara ya Ukaguzi, Rufaa na Malalamiko wakiwa
Pamoja katika kuaanda Dodoso litakalo tumika katika kukusanyia taarifa za Ukaguzi wa Kawaida unaotarajiwa kufanyika katika makundi yote ya taasisi za Serikali ya mapinduzi ya Zanzibar ambazo ni Wizara, Mashirika, Makampuni na Taasisi zinazojitegemea na Wakalatedaji.