Ziara ya Ukaguzi Manispaa Magharib A
Afisi ya Rais Kamisheni ya utumishi wa umma imewataka watendaji wa Baraza la Manispaa Magharibi A. kuzingatia mkataba wa Huduma kwa umma ili wananchi wapate huduma bora na kwa ufanisi. Akizungumza […]

Kamisheni ya Utumishi wa umma imesema utekelezaji wa muundo wa utumishi wa Kampuni ya Mwani Zanzibar utaleta mageuzi katika kutoa huduma kwa wananchi. Akikabidhi muundo huo kwa Uongozi wa Kampuni […]
Mkurugenzi Idara ya Utawala Rasilimali watu na mipango kutoka Kamisheni ya Utumishi wa umma Ndg Maryam Rished Mbarouk amesema mafunzo yanayotolewa kwa watendaji wa taasisi hiyo yatasaidia kuwajengea uwezo na […]