MAFUNZO KWA WAKALA WA BARABARA

Wakala wa Barabara Zanzibar umetakiwa kutekeleza majukumu yake kwa mujibu wa Muundo wa Taasisi  yao ulioidhinishwa na Serikali. Akitoa mafunzo ya Kujenga uelewa juu ya utekelezaji wa muundo huo huko […]