KAMISHENI KUIKABIDHI ZURA MIUNDO YA UTUMISHI
Katibu wa Kamisheni ya utumishi wa Umma Zanzibar ndugu Kubingwa Mashaka Simba leo Tarehe 3/10/2024 amemkabidhi Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Maji na Nishati Miundo ya […]
Katibu wa Kamisheni ya utumishi wa Umma Zanzibar ndugu Kubingwa Mashaka Simba leo Tarehe 3/10/2024 amemkabidhi Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Maji na Nishati Miundo ya […]
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imeridhia miundo mipya ya Taasisi ya Mhasibu mkuu wa Serikali na Mamlaka ya Serikali za mitaa ili kuimarisha utoaji wa huduma kwa Wananchi. Akikabidhi miundo […]
Wafanyakazi wa Kamisheni ya Utumishi wa umma wametakiwa kuongeza kasi ya uwajibikaji na ufanisi hasa katika suala zima la kufanya ukaguzi na uchunguzi katika Taasisi za umma. Kauli hiyo imetolewa […]
Waziri wa Nchi Afisi ya Rais Katiba Sheria,Utumishi na Utawala bora Mhe Haroun Ali Suleiman amesema ni jukumu la Wakuu wa taasisi na vitengo kukaa pamoja kujadili namna ya kuwaelimisha […]
Katibu wa Kamisheni ya Utumishi wa Umma Bw. Kubingwa Mashaka Simba amesema kuna umuhimu wa kuziimarisha ofisi za Wilaya za Watu Wenye ulemavu kwa kupatiwa huduma bora wanazostahiki. Akikabidhi Muundo […]
Wafanyakazi wa kamisheni ya Utumishi wa Umma wametakiwa kutumia mifumo ya kidigital ili kuimarisha utendaji katika utekelezaji wa majukumu yao. Hayo yameelezwa na Mkuu wa kitengo cha TEHAMA Kutoka kamisheni […]
Serikali ya mapinduzi ya zanzibar imekuwa ikifanya marekebisho ya mùundo kwa taasisi zake ili kuondoa changamoto za kiutendaji kwa Taasisi hiyo. Akikabidhi muundo mpya wa utumishi kwa kampuni ya Uunganishaji […]