Katibu wa Kamisheni ya Utumishi wa Umma akimkabidhi Naibu Mwanasheria Mkuu w Zanzibar Muundo wa Taasisi wa Afisi ya Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar.
Wilaya ya magharibi B Unguja.Katibu wa Kamisheni ya Utumishi wa Umma ndugu Kubingwa Mashaka Simba ameitaka Taasisi ya Mwanasheria Mkuu Zanzibar kuhakisha kuwa muundo ulikabidhiwa unatekelezwa ili kukidhi mahitaji ya watumishi pamoja na wananchi wa Zanzibar kwa ujumla ndani ya Taasisi hiyo kwa kuchagua watendaji wazuri wanaoenda na sifa na ufanisi ikiwemo wenye sifa ya […]