Ziara ya Ukaguzi Manispaa Magharib A
Afisi ya Rais Kamisheni ya utumishi wa umma imewataka watendaji wa Baraza la Manispaa Magharibi A. kuzingatia mkataba wa Huduma kwa umma ili wananchi wapate huduma bora na kwa ufanisi. Akizungumza […]

Kamisheni ya Utumishi wa umma imesema utekelezaji wa muundo wa utumishi wa Kampuni ya Mwani Zanzibar utaleta mageuzi katika kutoa huduma kwa wananchi. Akikabidhi muundo huo kwa Uongozi wa Kampuni […]
Mkurugenzi Idara ya Utawala Rasilimali watu na mipango kutoka Kamisheni ya Utumishi wa umma Ndg Maryam Rished Mbarouk amesema mafunzo yanayotolewa kwa watendaji wa taasisi hiyo yatasaidia kuwajengea uwezo na […]
Wafanyakazi wa kamisheni ya Utumishi wa Umma wametakiwa kutumia mifumo ya kidigital ili kuimarisha utendaji katika utekelezaji wa majukumu yao. Hayo yameelezwa na Mkuu wa kitengo cha TEHAMA Kutoka kamisheni […]
Serikali ya mapinduzi ya zanzibar imekuwa ikifanya marekebisho ya mùundo kwa taasisi zake ili kuondoa changamoto za kiutendaji kwa Taasisi hiyo. Akikabidhi muundo mpya wa utumishi kwa kampuni ya Uunganishaji […]