Kamisheni yakabidhi Miundo ya Taasisi ya Ofisi ya Mhasibu Mkuu na Mamlaka ya Serikali za Mitaa Zanzibar.
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imeridhia miundo mipya ya Taasisi ya Mhasibu mkuu wa Serikali na Mamlaka ya Serikali za mitaa ili kuimarisha utoaji wa huduma kwa Wananchi. Akikabidhi miundo […]